Vituo vya Wakala wa Manunuzi ya Serikali vinauza Petrol na Diesel kwa bei nafuu sana serikali ni sikivu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,968
141,979
Pamoja na Ewura kutangaza ongezeko la bei ya mafuta ya petrol na diesel Wakala wa Manunuzi ya Serikali amesema katika vituo vyao vya kuuzia mafuta bei ni nafuu sana.

Hivyo wananchi msisononeke jaza mafuta kwenye vituo vya wakala wa serikali.

Source: ITV habari
 
Nivipi hivyo, vile vya temesa, au vya ubia akia GBP na gapco au vipi?
 
Pamoja na Ewura kutangaza ongezeko la bei ya mafuta ya petrol na diesel Wakala wa Manunuzi ya Serikali amesema katika vituo vyao vya kuuzia mafuta bei ni nafuu sana.

Hivyo wananchi msisononeke jaza mafuta kwenye vituo vya wakala wa serikali.

Source: ITV habari
YohanaMbatizaji tutavitambua kwa njia gani hivyo vituo? Au uneandika Kibwai (kwa lugha ya Waruri wa Bwai
 
Bei affordable ya petroli haitakiwi kuzidi 970/- kwa lita, zaidi ya hapo ni kuwakandamiza wanyonge.........hata gesi kuuzwa 1,550/kg bado ni bei kubwa kwa uchumi wa wanyonge. Watengeneze barabara rafiki watu waanze kutumia baiskeli kwenda na kurudi makazini.....
 
Back
Top Bottom