Vituo vya Risitter ni danguro la mapenzi na kupotezeana muda

Wakuu,
Niende moja kwa moja kwenye mada ni hopefully wote ni wazima.
Kuna hivi vituo vya warudia mitihani (Risitters) Elimu ya O’Level miaka miwili A’level mwaka mmoja. Au kama unataka kurudia mtihani.

Kwenye pita pita zangu maeneo ya Mwenge ambako kuna vituo zaidi ya kumi observation yangu nimegundua kwamba wengi wa hawa waalimu ni masela wa kitaa hawana haiba ya ualimu na wengi wao hata materials ya kufundishia wana google to hawako competent kabisa.

Kilicho ni sikitisha zaidi ni jinsi vituo hivi vinekuwa sasa sehemu ya kukutania na kwenda kufanya ngono. Waalimu wanatafuna wadada, wadada wanatafunwa na wanafunzi wenzao plus mibaba nayo ina vitarget vident vinavyo soma hizi shule.

Ni hayo tu
Kati ya hao wote hapo kuna anayesoma hapo mwenye miaka chini 18 ??!
 
Kama wanapenda ngono ni tatizo lao,ila kuna wanaofaulu vizuri na kuendelea na higher education
 
Kuna vile vibanda vya kule karibu na breweries wanapaita mzizima sjui ni karibu na jangwani hivi.

Aisee, acha niishie hapo tu.
 
Wakuu
Nilituma cheti cha kuzaliwa rita mara ya kwanza ila kuna kitu nikakosea hivyo nikarudia tena
Ila mpaka sasa hawajanijibu je nifanyeje ?
 
Wakuu,
Niende moja kwa moja kwenye mada ni hopefully wote ni wazima.
Kuna hivi vituo vya warudia mitihani (Risitters) Elimu ya O’Level miaka miwili A’level mwaka mmoja. Au kama unataka kurudia mtihani.

Kwenye pita pita zangu maeneo ya Mwenge ambako kuna vituo zaidi ya kumi observation yangu nimegundua kwamba wengi wa hawa waalimu ni masela wa kitaa hawana haiba ya ualimu na wengi wao hata materials ya kufundishia wana google to hawako competent kabisa.

Kilicho ni sikitisha zaidi ni jinsi vituo hivi vinekuwa sasa sehemu ya kukutania na kwenda kufanya ngono. Waalimu wanatafuna wadada, wadada wanatafunwa na wanafunzi wenzao plus mibaba nayo ina vitarget vident vinavyo soma hizi shule.

Ni hayo tu
Ipo wapi habari picha
 
Wanapaita Mapambano ila toka enzi zetu sisi vijana wa zamani tuition kwa wajanja walikua wanalamba masister du nakumbuka kwa Mkandawile,Mama Shija,Mrisho,Machaga na Makumaku
Dah Mkandawile & Mama Shija nawaheshimu sana hawa walimu kwenye Chemia
 
Risitter ndio nini?
Wakuu,
Niende moja kwa moja kwenye mada ni hopefully wote ni wazima.
Kuna hivi vituo vya warudia mitihani (Risitters) Elimu ya O’Level miaka miwili A’level mwaka mmoja. Au kama unataka kurudia mtihani.

Kwenye pita pita zangu maeneo ya Mwenge ambako kuna vituo zaidi ya kumi observation yangu nimegundua kwamba wengi wa hawa waalimu ni masela wa kitaa hawana haiba ya ualimu na wengi wao hata materials ya kufundishia wana google to hawako competent kabisa.

Kilicho ni sikitisha zaidi ni jinsi vituo hivi vinekuwa sasa sehemu ya kukutania na kwenda kufanya ngono. Waalimu wanatafuna wadada, wadada wanatafunwa na wanafunzi wenzao plus mibaba nayo ina vitarget vident vinavyo soma hizi shule.

Ni hayo tu
 
Hao wasichana huwa wengi wamekata tamaa.Wanaenda kuwaridhisha waliolipa ada.Na Ndalichako kawabana hakuna kusoma cheti kuungaunga mpaka degree.

Kuna mmoja nilikutana nae nikienda kebbys kwenye vikao eti Una material ya O level?Nimemaliza miaka zaidi ya 5 chuo niyatolee wapi?Nikamkula tu.
 
[/QUOTE
Ndalichako kawabana kivipi mkuu
 
Wakuu,
Niende moja kwa moja kwenye mada ni hopefully wote ni wazima.
Kuna hivi vituo vya warudia mitihani (Risitters) Elimu ya O’Level miaka miwili A’level mwaka mmoja. Au kama unataka kurudia mtihani.

Kwenye pita pita zangu maeneo ya Mwenge ambako kuna vituo zaidi ya kumi observation yangu nimegundua kwamba wengi wa hawa waalimu ni masela wa kitaa hawana haiba ya ualimu na wengi wao hata materials ya kufundishia wana google to hawako competent kabisa.

Kilicho ni sikitisha zaidi ni jinsi vituo hivi vinekuwa sasa sehemu ya kukutania na kwenda kufanya ngono. Waalimu wanatafuna wadada, wadada wanatafunwa na wanafunzi wenzao plus mibaba nayo ina vitarget vident vinavyo soma hizi shule.

Ni hayo tu
Lia bas
 
Back
Top Bottom