Vituo vya Risitter ni danguro la mapenzi na kupotezeana muda

The Tomorrow People

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2013
Posts
2,690
Reaction score
2,857
Wakuu,
Niende moja kwa moja kwenye mada ni hopefully wote ni wazima.
Kuna hivi vituo vya warudia mitihani (Risitters) Elimu ya O’Level miaka miwili A’level mwaka mmoja. Au kama unataka kurudia mtihani.

Kwenye pita pita zangu maeneo ya Mwenge ambako kuna vituo zaidi ya kumi observation yangu nimegundua kwamba wengi wa hawa waalimu ni masela wa kitaa hawana haiba ya ualimu na wengi wao hata materials ya kufundishia wana google to hawako competent kabisa.

Kilicho ni sikitisha zaidi ni jinsi vituo hivi vinekuwa sasa sehemu ya kukutania na kwenda kufanya ngono. Waalimu wanatafuna wadada, wadada wanatafunwa na wanafunzi wenzao plus mibaba nayo ina vitarget vident vinavyo soma hizi shule.

Ni hayo tu
 
Nini kifanyike mkuu
 
risita wengi huwa kama wanalazimishwa hawana utayari kwa kusoma kwa bidii. ndio maana wengi huishia kutaga tena.
wanachukulia kwenda huko ni kama mtoko.
Ila nawakubali baadhi. kuna mmoja alianza kwa bidii, akafanikiwa hadi chuo kikuu na leo ni mtu mzito katika umri mdogo.

hao wadada waache ujinga, wasomee.
 
Kwa miaka minne chini ya walimu mahiri! umetaga yai sembuse ku reseat nje ya mfumo rasmi? Tena kwa kutokuwa na malengo? Ngoja walau wapate magonjwa! Hata hivyo wale waliopata division zero, four au three kwa uzembe wanaoujua huwa wanafanya vizuri na wapo!
 
Wakuu,
Niende moja kwa moja kwenye mada ni hopefully wote ni wazima.
Kuna hivi vituo vya warudia mitihani (Risitters) Elimu ya O’Level miaka miwili A’level mwaka mmoja. Au kama unataka kurudia mtihani.

Kwenye pita pita zangu maeneo ya Mwenge ambako kuna vituo zaidi ya kumi observation yangu nimegundua kwamba wengi wa hawa waalimu ni masela wa kitaa hawana haiba ya ualimu na wengi wao hata materials ya kufundishia wana google to hawako competent kabisa.

Kilicho ni sikitisha zaidi ni jinsi vituo hivi vinekuwa sasa sehemu ya kukutania na kwenda kufanya ngono. Waalimu wanatafuna wadada, wadada wanatafunwa na wanafunzi wenzao plus mibaba nayo ina vitarget vident vinavyo soma hizi shule.

Ni hayo tu
Huo utafiti wako ulilipia kibali COSTECH? Uliwashirikisha NBS?
 
binafsi naona umepuyanga tu hakuna mtu anaeshikwa akili huko au kufelishwa kama atakataa kuwa na mahusiano na hao waalimu ni ridhaa yao wenyewe hawajalazimishwa

hayo mambo ya ngono hata vyuoni yapo sio katika hivyo vituo pekee
 
Wanapaita Mapambano ila toka enzi zetu sisi vijana wa zamani tuition kwa wajanja walikua wanalamba masister du nakumbuka kwa Mkandawile,Mama Shija,Mrisho,Machaga na Makumaku
 
Back
Top Bottom