Nikupateje
JF-Expert Member
- Dec 22, 2009
- 1,334
- 988
Tuanze sasa kujadili mambo ya siku ya uchaguzi Igunga.
Ni nani mwenye majina halisi ya vituo vyote vya kupigia kura. Nimeangalia kwenye website ya Tume ya Uchaguzi sioni badala yake naona jumla ya kura zilizopatikana kwa wagombea wa last October.
Hii itatusaidia maana najua wapo wengi kama mimi wanaonataka kufuatilia kura za kila kituo, sihitaji kujumlishiwa na Tume ya Uchaguzi..
Small political hell in Taboraiguga ndio wapi?
unafahamu na vile vya kubumba ili kuchakachua kura? unafahamu yale maboksi yaliyojazwa kura za ushindi wa magamba yako wapi?Kata 26 vijiji 98 vituo vya kupigia kura viko 427 majina sijui.
Safari hii itakuwa ngumu sana kuongeza vituo kama walishindwa kuongeza kwenye uchaguzi mkuu angalau JK apate 70% wakati vituo vingine huko Lindi na Mtwara vilikuwa na wasimamizi wa CCM pekee wataweza kwenye jimbo moja ambalo kila jicho linaangalia.unafahamu na vile vya kubumba ili kuchakachua kura? unafahamu yale maboksi yaliyojazwa kura za ushindi wa magamba yako wapi?
Vijulikane vyote?!!!
Tuanze sasa kujadili mambo ya siku ya uchaguzi Igunga.
Ni nani mwenye majina halisi ya vituo vyote vya kupigia kura. Nimeangalia kwenye website ya Tume ya Uchaguzi sioni badala yake naona jumla ya kura zilizopatikana kwa wagombea wa last October.
Hii itatusaidia maana najua wapo wengi kama mimi wanaonataka kufuatilia kura za kila kituo, sihitaji kujumlishiwa na Tume ya Uchaguzi..
Kata 26 vijiji 98 vituo vya kupigia kura viko 427 majina sijui.

iguga ndio wapi?
Those magambas are capable of any thing if given chance, watch carefully usije kujuta!Safari hii itakuwa ngumu sana kuongeza vituo kama walishindwa kuongeza kwenye uchaguzi mkuu angalau JK apate 70% wakati vituo vingine huko Lindi na Mtwara vilikuwa na wasimamizi wa CCM pekee wataweza kwenye jimbo moja ambalo kila jicho linaangalia.
Safari hii itakuwa ngumu sana kuongeza vituo kama walishindwa kuongeza kwenye uchaguzi mkuu angalau JK apate 70% wakati vituo vingine huko Lindi na Mtwara vilikuwa na wasimamizi wa CCM pekee wataweza kwenye jimbo moja ambalo kila jicho linaangalia.
Sisi hatuhusiki na wagombea makafir Igunga. BAKWATA na CCM mtusamehe sana kulazimisha ushiriki katika mambo ya siasa hatupendezwi kutumika kuwaweka madarakani watu walio Waislamu safi.