ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,433
- 89,838
Toa ujinga wako hapa,Rais ameshaajiti zaidi ya Watumishi 30,000 wa Afya Kwa miaka 2 na Mwaka huu pia kuna Ajira zaidi ya 13,000 za Afya.Kuendelea tu kujenga majengo huku Madaktari na wauguzi wakiendelea kusota mtaani, huduma zikiendelea kuwa duni; ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu.
Kama daktari yupi?Hayo majengo yote yatahudumiwa na nani kama madaktari wamekuwa ma DJ huku mtaani.
Na umeme Mama kapelekq vijiji vingapi?Serikali imesema itaanza awamu ya pili ya ujenzi wa Vituo vya Afya 214 kwenye Kata zote za Kimkakati Nchini.
Kwa miaka 4 ya mama atakuwa kajenga jumla ya Vituo vya Afya 432 plus vifaa tiba na Ajira Juu.
View: https://twitter.com/ortamisemitz/status/1703015971940683886?t=TRrcPA_ngFuLW3VZ9f9Q4w&s=19
My Take
Awamu ya Kwanza chini ya pesa za tozo Serikali ya Mama ilijenga Jumla ya Vituo vya Afya 206.Fanyeni hesabu harafu mlinganishe na wale wazalendo waliokuwa wanajihamba Kwa Vituo vya Afya 350 Kwa Miaka 5.
Wanatosha kwa vituo vyoye alivyojenga?Toa ujinga wako hapa,Rais ameshaajiti zaidi ya Watumishi 30,000 wa Afya Kwa miaka 2 na Mwaka huu pia kuna Ajira zaidi ya 13,000 za Afya.
Hivyo Vituo nk muhimu sana Vijijini
Huyo mama unaemsifiaga kila ukipumua na masifa kajenga shule kila kona hiki ni nini?Toa ujinga wako hapa,Rais ameshaajiti zaidi ya Watumishi 30,000 wa Afya Kwa miaka 2 na Mwaka huu pia kuna Ajira zaidi ya 13,000 za Afya.
Hivyo Vituo nk muhimu sana Vijijini
Kwani pamoja na kujenga mashule kila Kona kwani Kuna siku alikwambia mahitaji yote ameyamaliza?Huyo mama unaemsifiaga kila ukipumua na masifa kajenga shule kila kona hiki ni nini?
View: https://www.instagram.com/reel/CxLTPSwLfo4/?igshid=NzZhOTFlYzFmZQ==
Hakuna kada ambayo Watumishi wanatosha,hao Watumishi anaoajiri mama walau watapunguza uhaba.Wanatosha kwa vituo vyoye alivyojenga?
Mwaka huu desemba Vijiji vyote vitafikiws na umeme.Na umeme Mama kapelekq vijiji vingapi?
Ajira mpya 47000 kutangazwa muda wowote; Boniphace SimbachaweneKuendelea tu kujenga majengo huku Madaktari na wauguzi wakiendelea kusota mtaani, huduma zikiendelea kuwa duni; ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu.
Including matundu 16 ya choo mashuleni!! Still they strugglin' on tha things!!Serikali imesema itaanza awamu ya pili ya ujenzi wa Vituo vya Afya 214 kwenye Kata zote za Kimkakati Nchini.
Kwa miaka 4 ya mama atakuwa kajenga jumla ya Vituo vya Afya 432 plus vifaa tiba na Ajira Juu.
View: https://twitter.com/ortamisemitz/status/1703015971940683886?t=TRrcPA_ngFuLW3VZ9f9Q4w&s=19
My Take
Awamu ya Kwanza chini ya pesa za tozo Serikali ya Mama ilijenga Jumla ya Vituo vya Afya 206.Fanyeni hesabu harafu mlinganishe na wale wazalendo waliokuwa wanajihamba Kwa Vituo vya Afya 350 Kwa Miaka 5.
Hizo ajira zina faida gani kwa watoto wa masikini kama robo 3 ya hiyo idadi mnaajiri ndugu zenu na wale wajanja wachache waliopitia mlango wa nyuma?Ajira mpya 47000 kutangazwa muda wowote; Boniphace Simbachawene
Safari hii mpaka mkimbie nchi kwa kuchukia maendeleo 🤣🤣
Umeme vijijini unawekwa kwa kutumia fedha zetu tunazokatwa kwenye kila lita moja ya mafuta ya taa, dizeli na petroli. Hiyo serikali yako inatumia gharama kubwa kiasi gani kwa mfano?Hakuna kada ambayo Watumishi wanatosha,hao Watumishi anaoajiri mama walau watapunguza uhaba.
Simbachawene: Muda wowote kutoka sasa Serikali itatangaza nafasi za kazi kwenye utumishi wa umma
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amesema serikali imepanga kutangaza ajira mpya zaidi ya 47,000 ili kupunguza uhaba wa watumishi. Waziri Simbachawene ametoa taarita hiyo wakati akizungumuza na watumishi wa umma wilayani Chato...www.jamiiforums.com
Mwaka huu desemba Vijiji vyote vitafikiws na umeme.
Cha kusikitisha pamoja na Serikali kutumia gharama kubwa Kupeleka umeme Vijijini na kuwapa ofa ya 27,000 Bado ni watu wachache sana wameweka umeme huko Vijijini.
Ya kwako inafanana na Chemba ya pit latrineChoiceVariable Pua kama Tende.
Kwa hiyo hoja Yako ni ipi?Umeme vijijini unawekwa kwa kutumia fedha zetu tunazokatwa kwenye kila lita moja ya mafuta ya taa, dizeli na petroli. Hiyo serikali yako inatumia gharama kubwa kiasi gani kwa mfano?