Wakujibwea45
Member
- Oct 8, 2021
- 64
- 54
Msaada naomba kupangiwa kwa mtiririko hivi vituo vitano (5) ukiwa unatokea mbezi kuelekea mlandizi: Njuweni(maili moja), visiga, misugusugu, kongowe na viziwaziwa.
1. Njuweni (maili moja)Msaada naomba kupangiwa kwa mtiririko hivi vituo vitano (5) ukiwa unatokea mbezi kuelekea mlandizi: Njuweni(maili moja), visiga, misugusugu, kongowe na viziwaziwa.
Shukrani mkuu1. Njuweni (maili moja)
2. Kwa mfipa (viziwaziwa)
3. Kongowe
4. Misugusugu
5. Visiga.
Hiyo viziwaziwa naifahamu iliyopo kwa mfipa kama ipo nyingine sifahamu.