Vinahifadhika mpaka miezi mitano. Kwa mfano Karatu ikifika mwezi wa Kumi wanaweka ghalani mpaka mwezi wa pili mwaka unaofuata ndipo wanaviuza...............Ila ujaribu kutengeneza ghala linalopitisha hewa vizuri na liwe kavu lili visioze ingawa hupungua uzito kiasi (lakini kwa soko la Kenya ndiyo huzingatia uzito).......Nazitafuta picha zinazoonyesha ghala lilivyo zikipatikana nitakutumia kwa PM (na ghala lenyewe linatengenezwa kwa mabanzi, miti na kuezekwa kwa nyasi) na hii ni Karatu ndiyo wanafanya kwa sababu wana uzalishaji mkubwa.
Kuhusu huyo mkulima huyo yupo wilaya ya Iramba kiijiji cha Mwanga.............unapitia njia ya kinampanda na kupita barabara inayoenda Hydom..........Naiangalia namba yake nitakutumia PM
Asante. Labda pengine unataka kulima maeneo gani? na utatumia mvua au kumwagilia? na kama kumwagilia ni kwa kutumia pampu au matone?
Kitunguu kinaweza kulimwa sehemu ambapo hamna maji kabisa?? ukategemea mvua?
Yap, kama nilivyoeleza kwa sehemu kubwa singida wanatumia mvua.......tena kama ni large scale huwa wanamwaga mbegu hawapandi kwa mstari na advantage yake ni kuwa hutumwagilii na matumizi ya mbolea ni kidogo sana lakini tatizo ni kuwa uzalishaji si mkubwa sana
Gunia 30 mpaka 50 wakati kiangazi ni zaidi ya gunia 60Unaposema uzalishaji si mkubwa sana unamaanisha wanachopata kama gunia ngapi hivi kwa heka moja?
Nafikiria kufanya majaribio
Platozoom
Ni lazima kuotesha mbegu kwenye kitalu kwanza? huwezi kupanda moja kwa moja vikakubali?
Gunia 30 mpaka 50 wakati kiangazi ni zaidi ya gunia 60
Iwapo mvua itakataa kabisa kunyesha bado kitunguu kinaweza ku survive au inakuwa maafa tu?
Mi nilifikiri unataka kutuambia faida ya vitu hivyo labda kwamba ni dawa? Wacha nifungue haraka, kumbe du! kilimo kwanza!Nina mpango wa kulima kimojawapo lengo ni kulima heka 3 cha msingi nahitaji kujua zao lenye faida zaidi ya lingine,changamoto zake,soko pia muda nitakao utumia tangu kupanda mpaka kuvuna.
Kitunguu kinahitaji maji lakini si kwa kiasi kikubwa........kwa mfano mwezi wa miezi miwili ya kwanza kinahitaji maji na mvua ikikatika kwa muda mrefu kweli hayo ni maafa kabisa..........ndio maana kitunguu (kama zao la mboga) hufaa sana kulimwa kama bustani au mfumo wa jaruba kwenye kiangazi.
Lakini ni vyema kama unaamua kulima kipindi cha masika at least uwe umechimba shimo ambalo utahifadhi maji ya mvua in case mvua imekata unayatumia................Au kama umelima karibu na mto ni rahisi kupata maji ..........unafukua mchanga na kupata maji na hapo unaweza ku-pump kirahisi (Wilaya ya Iramba kwa sehemu wanafanya hivi)
Kitunguu kinaweza kulimwa sehemu ambapo hamna maji kabisa?? ukategemea mvua?
Mnanitia hasira mwaka jana si nililima bwana kumbe washenzi walisupply mbolea feki nikala mweleka
Ila najua one day yes nakomaa mwakani na Eka kumi Singida uko mpaka kieleweke
Kilimo ukiwa serious kinakutoa kuna jamaa wanataka vitunguu ambavyo vyaoteshwa kwa organic manure bado naendelea kuwasaka nkipata data zao ntamwaga apa ila nasikia inalipa sana
Nikichimba kisima kikubwa si naweza kunyeshea moja kwa moja kutoka kisimani au gharama zitakuwa kubwa sana?
Mnanitia hasira mwaka jana si nililima bwana kumbe washenzi walisupply mbolea feki nikala mweleka
Ila najua one day yes nakomaa mwakani na Eka kumi Singida uko mpaka kieleweke
Kilimo ukiwa serious kinakutoa kuna jamaa wanataka vitunguu ambavyo vyaoteshwa kwa organic manure bado naendelea kuwasaka nkipata data zao ntamwaga apa ila nasikia inalipa sana