Vitumbua vya nyama ya kusaga

Duh na hivi ni mpenzi wa vitumbua, mate yeshajaa mdomoni. Ngoja nijaribu weekend hii.

Asante mamito. Tuwekee na hiyo mikate yake.
 
Sawa mpenzi hii mikate waweza kulia na chochote sio maalum kwa vitumbua btw ntawawekea hamna tatizo

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Waweza kula na maandaz chapati au chochote

Mie hupendelea kula na naan bread ntaweka recipe yake soon ni mikate mizuri sana

Jamaniii ukiweka naan niite nije fasta.

Napenda buttered naan na mishkaki ya kuku:) .

Ukimaliza niwekee na recipe ya Shawarma. Jina la ule mkate wa Shawarma umenitoka. Sijui lazima nitumie pizza stone ama naweza kutumia oven?

  • :)
 
Usijali ntakuekea habibty wa usijali hivi umenionea wapi kaka angu OLESAIDIMU

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Karucee huo mkate ni pita bread

OS bwana ana maringo huyo?? Ajue anamisiwa ndo kwanzaaaaa atajificha. Ila kwa leo yupo siasani anatembeza darsa, nitampa salamu.
Usijali ntakuekea habibty wa usijali hivi umenionea wapi kaka angu OLESAIDIMU

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Oh yes, pita bread.

Kuna kipindi nilienda Arusha kwenye hoteli moja hivi wakawa na Mexican wraps bomba kinomaaa. Nilipenda sanaaaaa. Now each time nikienda Arusha, lazima nitie timu.
Karucee huo mkate ni pita bread

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
OS bwana ana maringo huyo?? Ajue anamisiwa ndo kwanzaaaaa atajificha. Ila kwa leo yupo siasani anatembeza darsa, nitampa salamu.

Hahahaha ntafurah ukifikisha salamu

Oh yes, pita bread.

Kuna kipindi nilienda Arusha kwenye hoteli moja hivi wakawa na Mexican wraps bomba kinomaaa. Nilipenda sanaaaaa. Now each time nikienda Arusha, lazima nitie timu.

Hahahaha watakufilisi mahela shauri yako..lol mie napenda sana shawarma ya nyama ya mbuzi jamani mbuzi mtamu balaa

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom