Vituko vya waganga wa kienyeji

mumewanguu

JF-Expert Member
Mar 2, 2018
261
259
Nawachukia wale walioniroga kwani ndio sababu ya Mimi kuingia kwenye vilinge vya masangoma kutafuta utatuzi wa majanga walionipa

Niliagizwa mchele kg2 naz ndizi Saba pipikali kuku jogoo na soda ya Coca-Cola kwa kua nilikua na shida nilileta

Ule mchele ulipikwa Kisha ukawekwa kwenye sinia likawekwa kichwani kwangu afu wakaitwa watoto wadogo wakawa wanakula ule wali juu ya kichwa changu niliambulia harufu tu ya mtee wa nazi ila sikula hata punje then walipomaliza wale watoto wakaambiwa wasinawe Bal wafute mikono yao mwilini mwangu

Kisha yule jogoo akawekwa kichwani kwangu akawa katulia tuli mganga akaongea maneno yake ya lugha zisizo za nchi hii then akanipga chale za kutosha shubaamit nilikasirika kwanza wali cjala then nachanjwa Tena ambiwa ndo tiba hiyo

Kilichoniacha hoi Ni Bei ya huo uganga Yan shughuli imeisha naambiwa nitoe ,20000 af mfukoni nimeeandaa buku 3 nilitishwa nikaambiwa eti hiyo pesa Ni ya mizimu so nikifka home nirud kumalizia sikurudi Hadi Leo na nikagundua waganga wengi waongo matapeli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom