...Come on Susuviri....He's human being kwani kuna president unadhani haitaji ku-relax?? Kwa kweli kwangu naona ni sawa tu let him ajichanganye na ku-enjoy kuwa president haimaniishi basi kila sekunde, dakika, saa, siku, wiki, mwezi na mwaka eti uko busy haiwezekani tena nadhani unaweza ukashindwa kuperform..Lakini unajua inatisha! Yaani NUmber 1 of the most powerful nation ni mbumbu hivyo! No class! Kumbe ndo maana uchumi wa dunia nzima inasuasua! Afadhali angemwachia Laura aendeshe nchi!
....Imetulia hiyo Mfwatiliaji!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Big Up!!Sijaona tatizo lake..ameamua kuenjoy, ambapo pia inaongeza morali kwa wawakilishi wa nchi yake na ndiyo maana wanazikong'oli hizo gold medal kinoma.
...Teh! teh! tehhhhhhh . Ni kweli Naima,hapo mtu mmoja akurupuke tu na jina la osama i swear pombe yote itamwisha kichwani
hapo mtu mmoja akurupuke tu na jina la osama i swear pombe yote itamwisha kichwani
...Come on Susuviri....I wish hata JK angeenda tu na yeye kusafisha macho it's part of life mtu wangu au unasemaje??
Off the subject!!!
Nini kinawafanya muamini Bush anamtafuta Osama?
Dubya aliongeza hadi masaa machache ya kuondoka Beijing si mchezo.....
Haya mmeshindwa kujibu, naomba niweke changamoto nyingine hapa. While rais Bu-foon-ush anafanya vituko huko Beijing cheki The Man - Obama anavyorelax with style!
Alijifunza kutovua shati maana walishambamba mapaparazzi na mtu mzima aliumbuka sana!
Sasa contrast the two men's photos and see the difference!! Obama is presidential while Bush is bumbumbu mzungu wa reli! ππ
....and to think Bush gave billions of dollars in aid to Africa only to be lampooned in here.
The Truth, yaani kwa vile Bush katoa msaada akifanya vioja asiongelewe?! Mbona akili ya kikabaila sana hii.. daah, mfano huu unanikumbusha jinsi vile kule India watoto wadogo wanavyo tumikishwa usiku na mchana bila uhuru wa kuongea kwa vile tu wanapewa misaada ya chakula na mabeberu wanao wamiliki.
....................
maana unavyosomeka, yaani ukimpatia mtu msaada tu, basi asikuhoji wala kukukosoa tena...
Sema wewe SteveD, maana mi nawashangaa, wanamwona Bush wa maana kwa kuwa katoa mihela yake!