vituko vya mwaka!

Koba

JF-Expert Member
Jul 3, 2007
6,132
1,346
Seems trend ni same na hapa kwetu bara maana 31% of our tax collections ni exemptions,mwenye data atuletee maana najua hizo ni public records,so sad maana ni rushwa tuu na ujanja ujanja inaonekana,lakini kule kwa wenzetu hali mbaya sana...can you imagine exemptions ni 96% of your collections huku hata umeme hawana,kweli Africa(no CCM) kiboko,soma hapo chini uangalie hawa mafia wasio na aibu

Tax exemptions trigger heated debate in Z`bar

2008-06-25 10:05:58
By Mwinyi Sadallah, Zanzibar

The Zanzibar Government came under fire yesterday, as a member of the House of Representatives demanded detailed explanations on 19.6bn/- tax exemption granted by the Customs Department.

Debating the Isles 2008/09 budget, other legislators asked the Finance Minister, Mwinyihaji Makame, to come out with a clarification.

Mji-Mkongwe MP Fatma Habib Ferej said Tanzania Revenue Authority (TRA) May 2008 report had revealed massive tax exemptions given to investors, religious institutions, non-governmental organizations and public institutions.

Comparing statistics, the legislator said the 2005/6 report showed that the Isles government collected 14.5bn/- but tax exemptions reached 11.7bn/-, which was a huge portion compared to collected revenue.

In the year 2006/07, the government bagged 20.4bn/- but tax exemption stood at 19.6bn/- , being equivalent to 96 per cent of total revenue collected during the period under review.

``On the basis of these trends, there must be some elements of corruption. The government is losing billions of shillings, which could have been used to finance development projects,`` she said.

Ferej said tax exemptions given by the Isles Customs Department had drastically shot up by 68 per cent, although the development budget depended on international grants and aid from development partners.

``We want the finance minister to give a detailed explanation on tax exemptions so as to clear doubts on the possibility of corruption motives,`` she said.

Tax exemptions given to investors through Zanzibar Investment Promotion Authority (ZIPA) increased from 3.2bn/- to 6.9bn/- in 2007, the legislator said.

``If these exemptions were really granted in accordance to the country`s laws and regulations, then time has come to review our tax exemption laws for the sake of public good,`` said the representative.

Currently, tax exemptions given by the Union government stand at 31 per cent, which the MP said was low compared to exemptions offered by the Isles government.

In a bizarre intervention, the Finance Minister, Dr. Mwinyihaji Makame, sprang to his feet and said the representative`s allegations were false, misleading and a distortion. He asked the MP to apologize for her statement.

This made the leader of House opposition, Abubakar Bakari, say the legislator should be given time to go on making her contribution, as the minister would respond to arguments at the end of the debate.

The Isles Speaker, Pandu Ameir Kificho, agreed with the opposition leader, and asked the legislator to go on.

Koani representative Haji Mkema Haji (CCM) urged the government to launch investigations on embezzlement of public funds and corruption in state institutions.

``There is gross violation of procurement laws and regulations in the public system. Government officials continue purchasing equipment from private outlets rather than the government store,`` he said.

SOURCE: Guardian
 
hiyo ndio zanzibar....watu wakisema tanzania bara wanauziana nchi, zanzibar jua wanagawana bure kabisa.
 
Mwandishi, tuelezee utaratibu wa tax exemptions unatakiwa umsamehe nani. Na ni nani na nani wana mamlaka ya kusamehe kodi, na kwa kuzingatia vitu gani. Na wanaweza kusamehe kiasi gani, discretion yao inaishia wapi. Ili wananchi tupate picha ya kinachotakiwa kufanyika, ili tujue cha kufanya, au kuchangia jinsi ya kurekebisha, au tuweze kutambua na kuripoti uzembe.

Kwa sababu Tanzania hakuna press, hatujui kinachoendelea, wala kinachotakiwa kiendelee, na hivyo hatuwezi kuendelea.

Waandishi muwe mnafanya ka homework kidogo, sio kuandika half-baked work!
 
Kwa sababu Tanzania hakuna press, hatujui kinachoendelea, wala kinachotakiwa kiendelee, na hivyo hatuwezi kuendelea.

Press ipo lakini imekuwa compromised kwa sababu ya njaaa, kwa sababu wapo kina Kubenea na Lusekelo bado wanasimamia integrity ya press kama inavyotakiwa, wakosoe lakini usiwafute kabisa kwani wapo wenye kuheshimu kazi zao za press, yaani Tanzania.
 
Mwandishi, tuelezee utaratibu wa tax exemptions unatakiwa umsamehe nani. Na ni nani na nani wana mamlaka ya kusamehe kodi, na kwa kuzingatia vitu gani. Na wanaweza kusamehe kiasi gani, discretion yao inaishia wapi. Ili wananchi tupate picha ya kinachotakiwa kufanyika, ili tujue cha kufanya, au kuchangia jinsi ya kurekebisha, au tuweze kutambua na kuripoti uzembe.

Kwa sababu Tanzania hakuna press, hatujui kinachoendelea, wala kinachotakiwa kiendelee, na hivyo hatuwezi kuendelea.

Waandishi muwe mnafanya ka homework kidogo, sio kuandika half-a$$ work!

I don't think we know the working environment ya Mwandishi husika. Tushukuru kwa hicho kidogo alichofanya.
Watu kibao wameondoka kwenye kuajiriwa wanafanya shughuli zao binafsi maana in most places in Tanzania it is a joke to be employed.

And again, can you estimate the number of people who used to buy Newspapers but they can no longer do so? Kama kuna mwalimu hapa ananunua magazeti walau mara 8 kwa mwezi anyoshe kidole!

I want to remind people of REALITY na tope tulilomo.
Sio uongo, hata mimi ningetamani kuona analysis zaidi kama Kuhani alivyosema.

.
 
Mwandishi, tuelezee utaratibu wa tax exemptions unatakiwa umsamehe nani. Na ni nani na nani wana mamlaka ya kusamehe kodi, na kwa kuzingatia vitu gani. Na wanaweza kusamehe kiasi gani, discretion yao inaishia wapi. Ili wananchi tupate picha ya kinachotakiwa kufanyika, ili tujue cha kufanya, au kuchangia jinsi ya kurekebisha, au tuweze kutambua na kuripoti uzembe.

Kwa sababu Tanzania hakuna press, hatujui kinachoendelea, wala kinachotakiwa kiendelee, na hivyo hatuwezi kuendelea.

Waandishi muwe mnafanya ka homework kidogo, sio kuandika half-a$$ work!

Kaka Kuhani, kwanza kabisa heshima mbele mkuu.

Pili, naomba msamaha kwa wanajf kwa kuacha kujadili content ya thread instead, najadili yale Kuhani aliyoandika.

Brother Kuhani nimeshindwa kuvumilia kwa kuona hii comment yako. Sitokuficha mkuu, kinamna yake imenihuzunisha kwa kweli.

Hizi statement zako za kuwa Tanzania hamna press ni changamoto kubwa kama zinatumika ipasavyo, kwa waandishi na wabongo wote wanaopata kuziona. Maana zinaibua hisia ya kuona ukweli uliopo katika vyombo vyetu vya habari na jinsi vinavyo ripoti habari hizi. Hata hivyo changamoto hizi inavyoonekana unazitoa kizandiki na kinafiki. Kwa mfano hapo juu, jinsi ulivyoitoa statement hii ni kuonesha kutoridhishwa kwako na yale yaliyoandikwa maana hayawezi kumtosheleza atakayesoma habari hiyo. Na kwa mantiki hiyo basi, ukosoaji wako kiujumla jinsi ulivyoutoa ni kwamba, habari hiyo haifai kusomwa, maana mwandishi hakukamilisha kuandika yale ambayo ungetaka wewe yatajwe ndani ya article hiyo.

Nikiwa mtu ambaye sijasomea uandishi wa habari hata kidogo, sijui yale ambayo yamekosekana katika habari hiyo. Jinsi ninavyoiona habari hapo juu, ni kwamba; mwandishi, Mwinyi Sadallah ameandika hayo kama reporter tu wa yale ambayo ameyaona au kuyasikia kutoka kwenye Baraza kuu la uwakilishi Zanzibar. AMERIPOTI yale yaliyokuwa yakiendelea. Hajaandika kwa style ya uchunguzi kwasababu ambazo zinaonekana wazi kabisa kuwa, katika article hii lengo lake ni kuripoti yale yaliyokuwa yakiendelea. Hivyo msomaji atakapopata habari hii, anaweza akaelewa mojakwamoja yale yaliyokuwa yanaendelea kwenye kikao hicho. Na msomaji mwingine yeyote mwenye UCHUNGUZI basi ayasikie hayo yaliyosemwa na aende akafanye uchunguzi zaidi. Kamwe, sijaona niya ya mwandishi katika habari hiyo ya kutaka kuonesha kuwa yeye ni INVESTIGATIVE JOURNALIST. Kazi hii inawenyewe. Na hiyo yake ya kureport nayo ni kazi yake. Na natumaini utakubaliana nami kuwa, si kila mwandishi ni lazima awe investigative. Wengine ni waandishi wa kutoa habari tu walizokutana nazo.

Sasa Kuhani, nikiwa mmojawapo wa wale wanaopenda sana kuona jinsi objectivity yako katika maswala mbalimbali; criticism yako kwa kweli na jinsi unavyoitoa saa nyingine inakuwa siyo motivational force tena. Bali kwa mfano wa mwandishi kama hapo juu, ina demoralize na kumfanya mtu aone hamna la maana alilolifanya 'katika kuripoti kwake'.

Mkuu, tuko jamvini kushirikiana, kukosoana na kuleta changamoto katika nyanja mbalimbali. Hata hivyo dhumuni letu kuu ni kuona nchi yetu Tanzania inaendelea na wananchi wake wote wana prosper.

Hapo juu unapoandika 'hii habari ni half-a$$ work' sijui lengo lako ni nini mkuu?... habari imeletwa jamvini, basi wale wenye data na kuweza kufichua yale ambayo mwandishi hakuandika au hayajui na wafanye hivyo ili msomaji wa thread hii aweze kuelewa na kupata picha kamili. Si kila mwandishi anakuwa endowed na resources za kujua nje-ndani ya kile anachojaribu kukiripoti. Nina mfano hapa kaka:

Mzee Mkjj kaleta habari za mapigano huko Tarime (thread ya Zimbabwe au Tarime..). Habari hii na utakubaliana nami kuwa hii nayo ni habari, Mwanakijiji kaitundika hapa jamvini baada ya mtu kuituma kwakwe. Sasa Kuhani, kwa philosophy hizi za kiuandishi ambazo una advocate kuwa standard ya habari zinazoletwa JF, kweli habari hii ingeona mwanga hapa jamvini iwapo Mwkjj angeirudisha kwa mwandishi na kumwambia kuwa - "uandishi wako ni mbovu, nahitaji uchunguzi zaidi kabla sijaiweka JF".... au angefanya kama wengineo wanaopenda kuuliza hapa kuwa "tupe source" na mengineyo ambayo madhara yake makubwa indirectly yanakuwa ni ku-discourage umiminikaji wa scandals na habari ambazo wengine wasingepata kuzisikia wala kuziona.

Hapo juu, pamoja na kuwa ameandika nakala yake kwenye chombo ambacho kina sheria zote za kurusha habari na kina resource za kutosheleza uandishi wa kiuchunguzi; hata hivyo ndugu Mwinyi Sadallah kwa jinsi alivyotoa habari hiyo sidhani kama alihitaji kuelezea mambo ya jinsi vile tax exemption zinavyokuwa na nani na nini kinahitajika. Anaweza kufanya hivyo kama nafasi inamruhusu kuandika ripoti iliyo deep katika maelezo ya procedures na tactics zilizopo katika mambo ya tax emption. Utanisemehe, maana nitarudia tena - hapo juu Sadallah alikuwa anaripoti tu yale yaliyokuwa yanasemwa kwenye baraza.

Hapa JF naamini wapo waliojikita katika mambo ya Tax hivyo watatusaidia kueleza missing links katika hiyo article. Kamwe tusiwe wa kubeza tu na kulaumu waandishi wetu wa Kitanzania ambao mazingira wanayofanyia kazi fika twayajua. Si hivyo tu, bali pia katika habari sidhani kama ni lazima kila aina ya habari iandikwa kama thesis ya chuo kikuu au report ya kamati ya Bunge. Tunajisahau kuwa demand nyingine tunazoshinikiza kuwa practiced ni kwa ajili ya special media na special audience. Utakubali kuwa hata ndani ya broadsheets sometimes kuna touchy ya u-tabloid kulingana na kile kinachoongelewa.

Kuhani, nisikuchoshe kusoma na maoni yangu juu ya maoni yako, ngoja niishie hapa. Kimoja muhimu ambacho napenda kusema na sitakificha ni kwamba; nauthamini sana mchango wako hapa JF na jinsi ulivyo objective katika uchambuzi wako. Akhsante.

SteveD.
 
Back
Top Bottom