Vituko vya Mr Money!

Vituko vya Mr Money!

Wakuligo

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2013
Posts
259
Reaction score
106
Katika mgao wa TZS 3.1 Billion ambazo airtel wamegawa leo mim pamoja na kuwa mteja maarufu wa airtel mwenye miamala ya maana airtel money nimeambula shs 461 tu bila senti.
Airtel, acheni kutuchezea kisaikolojia ukizingatia kwamba gawio lenu ndio tegemeo la kuokoa jahazi kwa sasa baada ya kamshara kuzidiwa!
 
Voda, niliwahi kupata 5000, mara nyingine nikapata 2800 na kuna kipindi kingine nikapata 500
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom