Vituko vya mochwari

Mi nimefanya kazi sana humo mortuary, na nilikuwa naweka bia zangu ndani ya Frigi za marehemu na zikipata ubaridi nakunywa taratiiiibu, ila kuna mademu bomba wanakufaga wanacheka, wakimleta bado wa motomoto dah! Ni shida!
 
Mambo ya mochwari tuyaache kama yalivyo maana hayafai hata kidogo na km unataka kujua mengi nenda kamuone muoshaji akusimulie kikubwa uwe mvumilivu ili usije ukatoka nduki
 
Hatufanani unajua kwa mfano wengi wanaogopa sana kazi ya kunyonga ila mimi nikiipata hata leo hii naifanya tena kwa moyo mmoja
mshana tuwekee basi ile link yako ya kusomea budha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…