Vituko vya MC kwenye harusi

Utingo

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
10,265
Reaction score
8,098
MC akasema,sasa nawapa sifa kubwa ya bibi harusi...........huwa havai nguo za ndani. Watu wakaduwa na kubaki vinywa wazi. Akasema narudia kwa msisitizo na sijakosea.

Bi harusi huwa havai kabisa nguo za ndani......Nguo zake ni za kutoka Italy,England na Marekani,hebu mshangilieni.....Kila mtu Ahaaaa!!!!
 
Kuna mmoja anaitwa MC. Kikulacho yupo pale Iringa kwa kweli kwa mbwembwe zake huwafanya maharusi wakose raha. Maana huwa anazungumzia details flani flani za mtu mpaka inakuwa kero.
 
hahaaa hahahaa dah unaweza kata mtu kofi ukumbini
i hate mc kwakweli na matani yao ya ajabu
 
mm ningekuwa bwana harusi ningeua mtu pale pale nisingengojea hata arudie...
 
Simpatii picha Bwana Harusi.................usikute alishaanza kukunja ngumi! hahahahahahahahahahah:tongue::lol::lol::lol::lol:
 

hahhahahaha,... Mc mshenzi sana,hana adabu
 
haha haaaaaa hii kali huyu MC hajatulia hata kidogo
 
......ndio yuko sahihi kabisa,kama utaka kuoa usiogope kulala uchi..!..na ukikubali kuolewa usilale na chupi.......!
 
Huyo Mchimba Choo (MC) ***** sana! makalio ya nyanya yake
 
Hili ndilo tatizo la kutanguliza kuwalipa posho ma- MC! Kama asingepewa mshiko kabla, nafikiri angekuwa na nidhamu!
 
Kuna mmoja anaitwa MC. Kikulacho yupo pale Iringa kwa kweli kwa mbwembwe zake huwafanya maharusi wakose raha. Maana huwa anazungumzia details flani flani za mtu mpaka inakuwa kero.
sasa kwanini wanaendelea kumpa kazi ya u-mc
 
MC wengine wanaweza kuwafanya watu wapate stroke ukumbini!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…