Vituko vya magazeti Tanzania baada ya kutakiwa kutoandika habari za uchochezi

GedsellianTz

JF-Expert Member
Jul 5, 2016
1,348
1,803
Sasa magazeti yanatapata kumfurahisha mkuu hii ni hatari....
hii nomaaa.jpg
 
Vitisho kwa vyombo vya habari ili tu viandike yampendezayo mfalme ni kulirudisha taifa nyuma mpaka enzi za ukoloni
 
Mohammed Ali Wa Jicho pevu alisema: Wanahabari Wa tz mkijipendekeza kwa serikali mtapigwa mimba....na ndio hiyo ya kwanza sheria ya vyombo vya habari
 
Back
Top Bottom