MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,701
- 71,035
Habari za asubuhi wakuu,
Leo kwenye gazeti la jamhuri kuna habari hii ambayo inaonyesha vipau mbele vya jk wakati wa utoaji wa fedha zilizotengwa kwenye bajeti , kwa mujibu wa gazeti hilo bajeti za mikoa zilikuwa zinapelekewa chini ya 10% lakini safari zake zilikuwa zinapewa 90%, , wakuu naomba tulijadili hili.