Vituko vya hapa Jukwaani na mitandao mingine ya kijamii

Rich Hash

Senior Member
Mar 7, 2017
149
203
Humu mitandaoni kuna vituko bwana.
Mtu anapost jambo hapa, wachangiaji wakimkosoa anawatolea lugha za maudhi na matusi, wakiendelea kumkosoa tena kwa busara na hekima anawablock kabisa!
Yaani wanataka kila mtu akubaliane na mawazo yao waliyopost au kucomment.. .
Ebu kila mmoja ataje hapa watu wenye tabia hizi ili wajirekebishe..
NB:
Post hii ikiwakera msinblock kama kawaida yenu.... au kunipeleka kwenye thread nyingine...
 
Utakuwa nzi wa kijani ndio hamfurahii mitandao ya kijamii
 
Kuna yule anajiita "bikini" juzi kati alifurumusha matusi ya kufa mtu baada ya kuleta uzi wake watu wakauacha waka deal na jina kwanza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom