Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,090
- 165,878
umeona ehhndio facebook
jamani msaada nataka nijitoe facebook nifanyeje?
acha kuingia!
umesahau masharti wakati wa kujiunga..?
umeona ehh
Nina hakika wengi hawajui matumizi ya hicho kitufe hata hapa JF wapo
Button ya like inawezekana iliwekwa kubeba na maana nyingine kama, support, Kubali, Penda, kupunguza kuwa na vitufe vya kila hisia page isingetosha
Mtu kaweka status facebook kutaarifu marafiki
kuwa KAFIWA NA BABA YAKE MZAZI halafu cha
kushangaza
1. Yeye mwenyewe ana like ile status
2. Marafiki nao wana like ile status
Hivi like inakuwa na maana gani hapo?