Vituko vya Corona Afrika

Dr. Conovirus preparing his own created medicine
Your browser is not able to display this video.


Jr
 

Wewe mbona umetumika kuwinda watu humu kipumbavu. Thamani yako ilikua kubwa sana lakini wewe saiv ni thamaniless na watu tumeshajifunza kukudharau. Unaandika kuhusu mabeberu kuwinda waAfrika wakati wamekua wakituwinda kwa muda mrefu, nenda kafanye tena tafiti na sio kukurupuka kwa ujuniour wako.
 
Huku mitaani mafundi nguo wamepata biashara ya kushona barakoa.. Usalama wake ni kiasi gani? Hilo sio muhimu kwa sasa.. Kikubwa kuziba pua... Utadhani corona ina harufu...
One of the gists of your post is here? Are these street made masks serve the purpose?
 
Kila mtu ana mbinu zake sisi pia tuna wataalamu wa afya kusikiliza kila kitu na kufata Mbinu za kizungu ni Utumwa wa fikra nimefurahi kuona pia baadhi ya marais wa Africa wame support Madagascar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…