Vituko vya Corona Afrika

Mshana Jr dawa zako vipi haziwezi saidia kuua coronavirus?
 
Kuna nchi west Africa ilikua na wagonjwa waliothibitishwa 200 lakini waziri akatangaza waliopona ni Mia tatu.
Kwa hiyo nchi ina deni la wagonjwa mia
 
Mshana Jr, umejikita kufanya usanii kwa janga hili la maambukizi kama moto wa nyikani, du!

Kama tuko "serious" kutokomeza kirusi cha korona tuhamasishane kuzingatia kanuni za afya dhidi ya maambukizi.

Tuache ngonjera za nani kasema hili nani kafanya kile.

Silaha sahihi ni "kinga" na siyo "tiba".

JILINDE UMLINDE JIRANI, Tanzania bila maambukizi inawezekana.
 
kumbe kuna wakati akili za watu huhama na kubadilika kulingana naazingira

Jr
 
Corona ni neno la kilatini linalomaanisha taji la mfalme(crown).Virusi hivi vimejivisha taji linalofanana na taji la mfalme.corona virus=virusi vilivyojivisha taji la kifalme
Asante kwa ufafanuzi mkuu, kwa hiyo Walatini ndo waliopendekeza hivi Virusi viitwe CORONA!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…