Vituko vya Corona Afrika



Jr
 
Hii taarifa ya Uganda imekaaje,mbona leo asubuhi nmeskia BBC eti Spika wa bunge kagoma kuidhinisha fedha USD mil.3 sawa na Bil.10 za uganda kwa ajili ya wabunge kupambana na Corona?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kaidhinisha kinyume na amri ya mahakama.. Kisha akamgawia kila mbunge DOLA 3000

Jr
 
#Rais wa Brazil ameungana na waandamanaji kupinga lockdown
#Wakati maambukizi yameshika kasi, Marekani wanazungumzia ku ' reopen the economy' maana yake wanaachana na lockdown


Jr
 
Kama nilisikia mkuu wa kaya amesema tujivukize Nyungu


"Fᵒˡˡᵒʷ ᵉˣᶜᵉˡˡᵉⁿᶜᵉ ˢᵘᶜᶜᵉˢˢ ʷⁱˡˡ ᶜʰᵃˢᵉ ᵖᵃⁿᵗˢ ᵈᵒʷN"
 
Ugonjwa China uneisha?.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo nini hiki

Jr
 
Yote tisa kumi Kenya,wale watu 50 waliotoroka karantini,hapo utajua sisi wafrika vichwa vyetu vigumu kuelewa,sasa wale hamsini mmoja tuakipatika na Corona anaweza ambukizwa wengine zaidi ya 50.

Nasikia Kenya wagonjwa wanatoa rushwa ili watoke karantini.
 
Iko pw kila mtu atoe mawazo yake si kazi yetu kuchuja. Pumba pemben nyama tunakula.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…