VITUKO VYA BUNGENI MWAKA 2016..........................

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,807
34,193
Ndani ya bunge.jpg
ndani ya bunge 1.jpg
Vituko vya bunge  Mwaka 2016.jpg
nje ya bunge.jpg
nje ya bunge 2.jpg


WABUNGE WA UPINZANI WATOKA BUNGENI KWA MTINDO MPYA, WAMEJIFUNIKA MDOMO KWA KARATASI NA GUNDI

Wabunge wa Kambi ya Upinzani Bungeni leo wametumia mtindo mpya kueleza hisia zao baada ya kuamua kutoka kwenye ukumbi wa Bunge wakiwa wamejifunika midomo kwa karatasi.

Hii ni wiki ya tatu mfululizo wabunge hao wamekuwa wakitoka bungeni baada ya kutangaza kutohudhuria kikao cha bunge kinachoongozwa na Naibu Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson.

Mbunge wa Vunjo (NCCR-Mageuzi), James Mbatia amesema wameamua kutumia mtindo huo mpya kwa sababu Bunge limekataa kuwasikiliza hoja zao.

Picha na Edwin Mjwahuzi

chanzo.Mwananchi
 
Wabunge wanaowakilisha wananchi hawasikilizwi. Hii serikali ina kiburi sana kwa kutumia nguvu bila kutumia akili. Usipo msikiliza mtoto akiwa mdogo usije lalamika akishakuwa mkubwa na kukupuuza wewe.
 
Back
Top Bottom