GE2025 Vituko vinaendelea! Haya maandalizi yanayofanyika Arusha Mjini ya kumpokea Samia, pesa inayotumika ni zile B 100 au kodi za watanzania?

GE2025 Vituko vinaendelea! Haya maandalizi yanayofanyika Arusha Mjini ya kumpokea Samia, pesa inayotumika ni zile B 100 au kodi za watanzania?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,437
Reaction score
5,235
Yani Kila siku unasikia kuna hili mara lile huko alipo Paul Makonda! Hadi sasa bila shaka kuna pesa nyingi zimetumika katika kuyafanya hayo maandalizi ya kumpokea Mgombea Urais wa CCM Samia Suluhu.

Yani kila nikiangali uupuzi unaoendelea kufanyika hasira za kinyaru zinazidi kupanda kwa hawa watu.

==============

Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanwania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwasili mkoani Arusha, Oktoba 2, 2025 kwa ajili ya kampeni za kuomba kuungwa mkono na wananchi katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29.

Tofauti na mikoa mingine alikopita mgombea huyo wa urais, Arusha imekuwa ya tofauti kwani wananchi tayari wameanza kushuhudia miradi mbalimbali iliyokamilishwa kupitia uongozi wake.

 
Screenshot_20250922-171016.jpg
 
Kama una hasira sana basi kunywa sumu UFE tu maana huna faida yoyote ile hapa Duniani na hata Mbinguni
 
Back
Top Bottom