chademaone
Member
- Jan 11, 2014
- 9
- 0
USWAZI noma!!
Mama KIDAWA Ni Mjamzito,
Hawezi Kumpa Mumewe Penzi.
Akamwonea Huruma Kwa KIU Aliyo Nayo.
Akampa elfu 5 Akamwambia Akatulize Kiu Kwa ASHURA.
Jamaa Kufika ASHURA Akamtolea Nje, eti hela ndogo.
Mama KIDAWA Akaja Juu Akamwambia Mumewe,
"Usikonde! Nenda Kwa MAGE, ni mtu Wangu
Ila Huyu ASHURA Atanikoma.
Yeye Akiwa Na MIMBA Mumewe nampaga Bure,
Leo Hii Anajifanya Mjanja.
Tutaona akipata mimba!