Vituko ukweni

Vituko ukweni

LOTH HEMA

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2015
Posts
26,826
Reaction score
41,338
Wajuba kwenye mahusiano ya kindoa huko ukweni kuna vituko vingi sana. Hebu tuangalie vichache. Unakuta familia ina mabinti kama watatu, wanne, watano na kuendelea wameolewa na wanaume wenye vipato na hadhi tofauti.

Mkwe mwenye kipato kidogo huishia kudharauliwa na kutumwa kazi za hovyo hovyo na hapewi heshima kama watozi wenzake. Mara akapasue kuni, mara akalime, kuchunga na udhalilishaji mwingine ukweni.

Lakini wengine hawatumwi kipuuzwi wanapewa heshima kubwa, wanapikiwa misosi mizuri ya heshima, wanachinjiwa kuku, mbuzi, wanakunywa mchuzi, kulamba asali na maziwa lakini kapuku ugali dona bamia imetoka hiyo?

Mimi ushenzi huo sikubali na hawataniona ukweni ili heshima iwepo. Nyumbani nako unaoa lakini mke wako naye anatumikishwa kazi za hovyo hovyo lakini wake za ndugu zako wanaheshimiwa kwa kuwa waume zao wana ajira safi fedha ipo. Mke wangu akishushiwa heshima nitakuwa mkali kutaka heshima sawa kwa wake zetu. Huwa sipendi ujinga ukweni na nyumbani, tuheshimiane
 
Mchawi pesa, lakini isiwe kigezo cha kuondoa UTU wa mtu
 
Ni kama unaandika huku ukimuangalia jamaa akipasua Kuni huku anaongea kwa sauti kubwa🤔
Anyway Kila kitu ni mipaka uliyojiwekea kwanza kwenye shughuli za kifamilia zenye muktadha huo jitahidi usiende mapema sio unafika mapema hadi wenyeji wanashtuka!!!hapo lazima ufukuze kuku
 
Wajuba kwenye mahusiano ya kindoa huko ukweni kuna vituko vingi sana. Hebu tuangalie vichache. Unakuta familia ina mabinti kama watatu, wanne, watano na kuendelea wameolewa na wanaume wenye vipato na hadhi tofauti.

Mkwe mwenye kipato kidogo huishia kudharauliwa na kutumwa kazi za hovyo hovyo na hapewi heshima kama watozi wenzake. Mara akapasue kuni, mara akalime, kuchunga na udhalilishaji mwingine ukweni.

Lakini wengine hawatumwi kipuuzwi wanapewa heshima kubwa, wanapikiwa misosi mizuri ya heshima, wanachinjiwa kuku, mbuzi, wanakunywa mchuzi, kulamba asali na maziwa lakini kapuku ugali dona bamia imetoka hiyo?

Mimi ushenzi huo sikubali na hawataniona ukweni ili heshima iwepo. Nyumbani nako unaoa lakini mke wako naye anatumikishwa kazi za hovyo hovyo lakini wake za ndugu zako wanaheshimiwa kwa kuwa waume zao wana ajira safi fedha ipo. Mke wangu akishushiwa heshima nitakuwa mkali kutaka heshima sawa kwa wake zetu. Huwa sipendi ujinga ukweni na nyumbani, tuheshimiane

NO REFORM, NO ERECTION.
 
Pesa ni mungu dunia. Sitakuja kwenda ukweni nikalala, never, labda kuwe na mambo ya kifamilia kama msiba au sherehe. Ukienda ukweni hakikisha unaenda na usafiri wako. Kama ni mbali sana safikiri kisha lala hotel au hata guest ya karibu na kwa mkeo. Kesho yake mapema saa 3-4 upo kwao. Kaa nao siku nzima, jioni hata kama ni usiku choma wese kurudi, hata kama utatoka na kutafuta guest ulale ila wao wajue unarudi night kwa night, jifanye una mambo ya kufanya kesho yake. Unajua kukaa na watu kwa muda mrefu wanakuzoea na kukuchukulia poa, usiwape hio nafasi wakwe zako.
 
Wazee walinambia usilale ukweni hata mvua inyeshe hupaswi kulala ukweni,

Nyie ndo naona Kuna watu wanalala ukweni,

Kama ni mbali hakikisha unapata lodge au gest karibu,

Manage muda ili usikose muda wa kurudi ulipofanyia booking,

Kuwa smart, toa mazoea na ukweni unaambiwa upasue Kuni? Mm hata unipe mtoto sishiki acha Kuni shwain
 
Wajuba kwenye mahusiano ya kindoa huko ukweni kuna vituko vingi sana. Hebu tuangalie vichache. Unakuta familia ina mabinti kama watatu, wanne, watano na kuendelea wameolewa na wanaume wenye vipato na hadhi tofauti.

Mkwe mwenye kipato kidogo huishia kudharauliwa na kutumwa kazi za hovyo hovyo na hapewi heshima kama watozi wenzake. Mara akapasue kuni, mara akalime, kuchunga na udhalilishaji mwingine ukweni.

Lakini wengine hawatumwi kipuuzwi wanapewa heshima kubwa, wanapikiwa misosi mizuri ya heshima, wanachinjiwa kuku, mbuzi, wanakunywa mchuzi, kulamba asali na maziwa lakini kapuku ugali dona bamia imetoka hiyo?

Mimi ushenzi huo sikubali na hawataniona ukweni ili heshima iwepo. Nyumbani nako unaoa lakini mke wako naye anatumikishwa kazi za hovyo hovyo lakini wake za ndugu zako wanaheshimiwa kwa kuwa waume zao wana ajira safi fedha ipo. Mke wangu akishushiwa heshima nitakuwa mkali kutaka heshima sawa kwa wake zetu. Huwa sipendi ujinga ukweni na nyumbani, tuheshimiane
fanya kazi kwa bidii na uwe na uhakika wa kipato na hutakutana na changamoto na fedheha ndongo ndogo kama hizo gentleman. pesa ndio kila kitu :NoGodNo:
 
Kuwa kama Uncle wetu mmoja au Baba Mdogo,huwa wapo very calm na hali zao😀😀😀huwezi mwendesha wala kumpelekesha,mpaka Babu na Bibi walikuwa wanajua hao ni wajeruri😀😀hawaendeshwi.
So ikija mida wa family together,huwa na connection kali sana za maisha kuliko wale mafather au Ma uncle wenye mawe.😀
 
Pesa ni mungu dunia. Sitakuja kwenda ukweni nikalala, never, labda kuwe na mambo ya kifamilia kama msiba au sherehe. Ukienda ukweni hakikisha unaenda na usafiri wako. Kama ni mbali sana safikiri kisha lala hotel au hata guest ya karibu na kwa mkeo. Kesho yake mapema saa 3-4 upo kwao. Kaa nao siku nzima, jioni hata kama ni usiku choma wese kurudi, hata kama utatoka na kutafuta guest ulale ila wao wajue unarudi night kwa night, jifanye una mambo ya kufanya kesho yake. Unajua kukaa na watu kwa muda mrefu wanakuzoea na kukuchukulia poa, usiwape hio nafasi wakwe zako.
hii ni kweli hata kuwasiliana hutakiwi uongee nao mara kwa mara yaan mara moja kwa mwezi
 
1,tafuta hela
2,sijaelewa inakuwaje mpaka wakwe wakutume,hauna kwako,unaishi ukweni au
 
Back
Top Bottom