Wanaaofuatilia soka wanajua maana ya hii
View attachment 131162
Mkuu tujuze! Wengine wageni kwenye hiyo sekta.
[/QUOTE][QUOTE =Kayoka;8344408]nakumbuka ilikuwa msimu wa 2008/09 kama sikosei, wakati wa fainali ya Eufa Barcelona waliitwanga Man united goli 2:1.
Pique na wenzake wakaamua kuchana chana nyavu za pale old traford na kusepa nazo.