Vituko ndani ya JamiiForums

Hahahaa nimemkumbuka rubii nikakumbuka mlolongo mrefu wa warembo wa jf..
Kuna yule mama mchungaji nasikia akaingia tundu bovu..
Hahahaaa
Kweli kila lenye mwanzo lina mwisho
Hehehee.. naomba ubuyu. Nini kilitokea kwa rubii??
 
Hahahaa dada weee naogopa kuchambwa...

Ila wajuvi wa mambo wanamjua
Mabazazi wakaenda kutest oil...aah jamani hapana
Jf usipocheka una tatizo
Jamani hornet hapa deep mawazuuuu na huo umbea unaoninyima atakuchamba naniiii tunakusaidia bana ataanzaje kukuchamba kwahiyo mama mchungaji walivyoenda kutest oil alikulwa
 


Nimecheka Sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…