Vituko mitandaoni. Tupia chako

Ni kweli, hadithi nyingi za bibilia zimetoholewa kutoka kwenye tamaduni zingine.

Gharika la nuhu imetolewa kwenye the epic of gilgamesh kutoka Babylon,

Hadithi ya Musa imefanana na ya Sargon kutoka Mesopotamia,

Hadithi ya Ayubu nayo imetolewa Mesopotamia,

Zaburi, Mambo ya Walawi, zimefanana na maandiko ya misri, na vingine vingi.

Dini inazaliwa, inakua kwa kutohoa kutoka sehemu zingine, pia inakufa, dini za sasa zimetokana na dini za zamani zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…