Hamia Iringa. Hutajuta! πππ
Ila Wabongo dah! πππππΏππΏππΏ
View attachment 2828598
Kabla akina Mpwayungu Village hawajazaliwa πππππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈ
Nimekutafuta sana tarehe 27. Nikanunua keki kuuuubwa halafu ukaingia mitini imebidi nile pekeangu tu![emoji16][emoji16][emoji16] kuna keki wapi na mimi niende
Unajua ps usipokuwa makini wanao wataanza kwenda shule we bado unacheza fifa[emoji1787]
[emoji1787][emoji1787]
Maisha banh unaweza ukateseka sana, ukapambana sana na bado hutoboi... mjini mipango tu[emoji16]Motivation speakers[emoji23][emoji23][emoji706][emoji706][emoji706]
View attachment 2828343