COMORIENNE
JF-Expert Member
- Dec 25, 2022
- 1,157
- 1,277
πππWeka namba ya simu mkuu
Paka wana kazi maalumππ
Daah mpira wetu kivyetu vyetuKinyozi anataka vita[emoji23][emoji23]View attachment 2823507
Kama anaenda kwenye usaili vile, inabidi uende kibishi tu ππ
ππHachelewi kuziweka hadharani zote
Wale wauza viatu,mashati na vingine....hivi asubuhi unaweza kuta viatu vina rangi mbili tofauti au shati mkono mmoja mrefu mwingine mfupiπππ
Aiseee ππ