Hili sasa ndo parachichi...
Haya tunayouziwa sokoni ni GMO...
Ladha sifuri, yanaharibika haraka.
Hivi kwanini hayo hayaletwi mjini jamani hata wauze 1 elfu 2 nanunua.
Ni kama sasa hivi, kupata embe Dodo asilia sokoni ni kipengele.
Naishia kula mabolibo ya Tabora na yenyewe yamechakachuliwa vilevile.