Vituko mitandaoni. Tupia chako

Mwanamke kama hawezi kujishusha na kumpa mwanaume heshima yake as a man/leader, huyo mwanamke ni wa kuogopa pia!!
Hiyo italetwa / inaletwa kama kakuzidi umri+hela haiji hivi hivi ndo maana wababa wengi wanapenda vibinti vidogo vidogo jiulize kwann?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…