AFUNGA NDOA NA WANAWAKE 30 NDANI YA SIKU MOJA.
Mwimbaji Harrysong, nyota wa Afrobeat kutoka Nigeria, amekuwa gumzo baada ya kuvunja rekodi ya kihistoria kwa kuoa wanawake 30 ndani ya siku moja, awali rekodi hiyo ilikuwa ikishikiliwa na gwiji Fela Anikulapo Kuti ambaye alioa wanawake 27 kwa siku.
View attachment 2813141
Sent using
Jamii Forums mobile app