Kuna ile clip yao ilikuwa inasambaa wapo pamoja huyu demu alikuwa amejificha kwa pembeni sijui hivi akanyoosha kidole cha kati mi navyojua kama ni kumeet tiyari sema kwenye kumegana hapo sijui sasa. Labda walifanya private kama ya mondi na ex wa ricardo momo MALAIKA CUTE ππππ
π π π π Vijana wa sasaivi shida tunataka mafanikio ya haraka mkuu max of waiting huwa ni labda 1 - 15 years ni vigumu sana kwa kijana kusubiri 20+ years duuh hee zama hizi ni uongo asee