Msanii maarufu hapa Tanzania VANILLAH ambaye ni msanii wake na alikiba kutoka KING MUSIC amewaacha hoi wasanii wake pamoja na mashabiki zake uko kwenye mitandao yake ya kijamii hasa instagram #VanillahMusic baada ya kupost picha ambayo inaonesha akiwa amevaa nguo za mwanamke za kwenye harusi (Shela)
View attachment 2802453
Sent using
Jamii Forums mobile app