Vituko mitandaoni. Tupia chako

Kuna siku nilikuwa naongea na mshkaji wangu, akawa ana joke kuhusu ukimwi kuwa sio wa kuuogopa tena. Kwa umri wetu huu tulipofikia magonjwa ambayo inabidi tujikinge nayo ni yasiyoambukiza kama pressure, kisukari, matatizo ya nguvu za kiume etc
. Tujitahidi kula vizuri kwa mpangilio, mazoezi mengi sio kila siku kusuuza koo tu!!
 
Nyota hiyo kubwa? Nadhani ni hicho kidoti kingine...Earth is just a speck of rock in a seemingly vast and endless universe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…