This, I believe, is not an issue. Hiki anachofanya ndicho kitamfanya asife mapema kuliko tu kama angebweteka na kukaa nyumbani kula mafao. Wazungu unakuta akistaafu ndiyo kwanza anaanza career nyingine. Na inawasaidia sana kusukuma miaka wakiwa bize.
Mimi nampongeza afande kwa uamuzi wake na huyu anayetaka kumpangia maisha yake ni mnafiki tu