Vituko mitandaoni. Tupia chako

Hapa ninapoishi kuna mmama anapika maandazi kaumbika hivi hivi. Ni very kind nikinunuaga maandazi anapokea hela kwa mikono miwilii yaani najisikiaga raha sana najiona kama mimi ndo mume wake yaani.

Sijui nimtongoze sema mmh hapana lkn anakosha sana asee
 

🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…