Vituko mitandaoni. Tupia chako

Wapi hii na ilikuwa kuhusu nini?

"رمضان كريم وصوم مقبول"
Boda ya tz na Rwanda, Rwanda inataka dereva wa tz akifika boda aache gari ichukuliwe na dereva wa Rwanda ivuke boda ikashushe mzigo wewe mtz unabaki boda Kama hutaki una shusha mzigo wako hapo hapo boda Sasa wabongo wakalipa kisasi gari za Rwanda nazo ziishie boda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…