Vituko mitandaoni. Tupia chako

afu hichi kitu hata hakihubiriwi kwenye makanisa rasmi,

ni hawa prosperity preachers kina mwakasege😂
Wakristo Israeli ni 1.9% tu na mwaka huu wahafidhina walipendekeza kupiga marufuku kutajwa kwa jina la Yesu kama Masihi.

Na Mwakasege siyo prosperity preacher. Huo ni uwanja wa akina Mwamposa, Gwajima, Mwingira na huu utitiri wa mitume na manabii. Mwakasege ni mwalimu!

 
kama anatenda miujiza basi ni prosperity precher😂

najua wewe ni fanboy ila ukubali tu😂

afu yeye ndo wakwanza tz nadhani, sema he has that charisma au sio😂
Siyo fan boy. Niko objective sana katika hili!

Mwakasege anaijua Biblia na anajua kuifundisha na kuifafanua. Ni wito wake huo. Na semina zake hizi anazozunguka nchi nzima zina lengo hilo. Ndiyo maana mara nyingi anakuwa na wito sana wa watu kuokoka na kumpokea Yesu. Na kwa hapa Tanzania kwa sasa sidhani kama kuna mwalimu wa Biblia aliyeiva kumzidi. Wengi wengine huku wamegeuka na kuwa social commentators/motivational speakes (mf. Mugogo, Hananja, Kapola....) au wanamazingaombwe kwa lengo la kupumbaza watu ili kuwaibia. Huko huwezi kusikia habari za wokovu na kumpokea Yesu Kristo kwa kuacha dhambi bali siri ya mafanikio ni kupanda mbegu kwa kutoa sadaka na zaka ili Mungu Afungue milango haijalishi unaishi maisha machafu kiasi gani.

Najua wewe ni Atheist na ni rahisi kwako kuponda kila kitu. Yes Ukristo umevurugwa sana na hii prosperity gospel na hawa wanamazingaombwe lakini bado kuna watumishi wanaohubiri na kufundisha injili katika misingi ya Biblia japo ni wachache.

Your browser is not able to play this audio.
 
kutenda miujiza kunahitaji udanganyifu fulani.... ukifanya udanganyifu ina maana wewe ni tapeli kwasababu unajua unafanya kitu kibaya ila unaendelea

sasa kama amewahi kufanya miujiza, haswa ile ya kuponya vilema basi ni conman

ndo reasoning yangu hiyo
 
🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…