Vituko mitandaoni. Tupia chako

"Usione nimekonda ewe Tuma hakuna lingine mama ila ni wewe Tuma.
Usiku wote nalala nilikuwaza nakwita jina lako...ooooh Tuma".

Maalim Gurumo, Suleimani Mbwembwe, Tx Moshi William.
Msondo Ngoma.
Magoma Kitakita
 
Golden chance never come twice View attachment 2769278

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu ndiyo likuwa mtu wa kupiga pesa kuliko Mondi tatizo ni mbinafsi.
Fella aliwaweka pamoja ili asimamie kazi zao, yeye ndiyo wa kwanza kuchomoka na kashfa juu eti anawaibia.
Leo mwenzao ametoka kwa kufuata nidhamu pesa na kuwasikiliza watalaam wa kila nyanja wanaumonea wivu!!!
Aendelee kunywa mataputapu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…