Ankali, sijui wewe nakudai ankal[emoji34]Ankali, ahadi ni deni
Waganga bhana[emoji23][emoji23], jamani mmoja alituambia tuchimbe ndani tufukie chungu[emoji23][emoji23][emoji23],
Hahaha au sio
Yaani hata kwenye picha ya video pia anaongea😄😆😄
😂😂😂🤣🤣Kijana huyu asaidiwe.
Huwezi kula kiapo kwa sababu ya Man United.View attachment 2760392