Vituko mitandaoni. Tupia chako

Baba yake Rais Bongo aliyepinduliwa leo
1.Alikuwa na Watoto 30+
2.Aliitawala Gabon kwa miaka 42
3.Alikuwa na Account za Benki zaidi ya 70 nje ya nchi
4.Familia yake ilikuwa inatumia Tsh Bilioni 174 kwa Mwaka
5.Alimiliki zaidi ya Majumba 40 ya kifahari Ulaya na Marekani
 
Mshana Jr, Tanganyika tunajifunza nini kupitia ujumbe wako Mkuu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…