Tumeishindwa Bandari tunatetea kitambaa😂😂😅😅…bendera ya nchi inachafuliwa, nembo ya taifa kabisa daaadeki! Na vyombo vya ulinzi na usalama vipo tu, vimekaa kimya! Hii nchi aiseee!… [emoji848]View attachment 2710760
Sent using Jamii Forums mobile app
huwez fanya kitu😅😅😅 zishageuzwa chips kuku😜Zitamtoka puani, nina uchungu wa hela...yaani ha ha ha
Hahahaaa!.