Vituko mitandaoni. Tupia chako

MAMA ALIYEPOTEZA WANAWE WANNE NI UCHUNGU MTUPU.

Pichani ni Liliani Msuya, Mama mzazi wa watoto wanne waliofariki katika ajali ya gari, Mbwewe Chalinze mkoani Pwani walipokuwa wanaenda msibani Kilimanjaro, akionekana ni mwenye majonzi na uchungu nyumbani kwake kijiji cha Kisangeni, Wilaya ya Mwanga Mkoani Kilimanjaro.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…