Nampenda Mond lakini kwa upuuzi huu asipoukemea ataanguka
MAAJABU PICHA YA DIAMOND YAONEKANA ANGANI
Unaambiwa leo majira ya saa 00:30 usiku maeneo ya Kigamboni, Daraja la Nyerere imeonekana picha ya Msanii wa Tanzania Diamond Platnumz juu ya anga.
View attachment 2701031
Sent using
Jamii Forums mobile app