Vituko mitandaoni. Tupia chako

Hivi sasa, unaishi kutokana na matunda ya mamilioni ya watu huko nyuma ambao wamerahisisha maisha yako kupitia mapambano na uvumbuzi wao. Umefaidika kutokana na elimu inayojumuisha hekima ya maelfu ya miaka ya uzoefu. Ni rahisi sana kuchukua haya yote kuwa ya kawaida, kufikiria kuwa yote yalitokea tu na kwamba una haki ya kuwa na nguvu hizi zote.

bert Grens, Sheria za Asili ya Binadamu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…