Hapo sawa,nilianza kujitizama hapa nimekosea wapi[emoji23]Hapana mjukuu. Huyu ni mjukuu mwingine. Tumeshaongea na kumaliza ishu yetu [emoji1545]
Blackberry masikini walikuwa mbele ya gemu sijui walijichanganya wapi wakaachwa nyuma.
Gross!🤮🤮🤮
Delishazi 😋😋😋
Utelezi [emoji23]Blackberry masikini walikuwa mbele ya gemu sijui walijichanganya wapi wakaachwa nyuma.
Hahaha hii je! Eti tango na soseji vimeingiliana[emoji39][emoji1544][emoji1550]Delishazi [emoji39][emoji39][emoji39]