Chukua karatasi au takataka zo zote. Zimwagie mafuta ya taa halafu zichome. Moshi na harufu yake zitamfanya atoke ndani ya nyumba haraka sana. Angalia usiishie kuchoma nyumba!