Vituko mitandaoni. Tupia chako

unaongeza kidogo kidogo😂 huyu hapana

sampuli hii👇🏾
View attachment 2684920
Nimekupata kamanda....😁😁😁



Ila katika hesabu zako za kuoa kumbuka na hili: Miili ya wanawake hubadilika sana hasa wakijifungua watoto kadhaa na mara nyingi kuongezeka uzito na hata kuwa shepulesi ni jambo la kawaida. Lizingatie hili kwenye fomyula yako utakapoanza kutafuta yule mmoja wa kuishi naye milele vinginevyo utakuwa unaoa wanajifungua mtoto mmoja wananenepeana wanaota vitambi unatimua na kuoa mwingine.

Watoto andaeji bana mna mitazamo ya ajabu sana!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…